Thursday, June 30, 2016

WABUNGE WA UKAWA WATOKA BUNGENI HUKU WAKIWA WAMESHIKA MABANGO

Toka toka nje ya Wabunge wanaounda Umoja wa Katiba (UKAWA) Wameendelea kufanya kile wanachokiamini ambapo asubuhi ya leo wametoka tena nje ya ukumbi huo huku wakiwa na mabango sambamba na kuvaa nguo nyeusi.

Katika kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma, Wabunge hao wamefanya hivyo baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu