Monday, July 18, 2016

GARI AINA YA CRESTA LANGONGA BASI LA MWENDO HARAKA JIJINI DAR

Gari la Mwendo wa haraka lenye namba za usajili T 968 DGV limegongwa na gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC leo katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salam.

Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni Dereva wa gari dogo aina ya Cresta kutokuangalia vizuri wakati anavuka barabara ya mabasi yaendayo haraka katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na Avila Kakingo.
Gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC linavyoonekana katika picha baada ya kugonga gari la mwendo haraka katika eneo la kisutu jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu