Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akitia saini katika kitabu cha wageni Moi mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa Madaktari Bingwa wa Mifupa wa Wtoto Duniani, Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupiti Ubalozi wake nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Afyana na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) uliohudhuriwa na Wataalamu kutokanchi mbalimbaliza Afrikana Uturuki
Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp (kulia) akitia saini katika kitabu cha wageni Taasisi ya Mifupa hiyo kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya (katikati) akizungumzakatika ufunguzi wa Mkutano wa Madaktari wa Mifupa wa Watoto Duniani ambapo Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupitia balozi wake Nchini Tanzania kwakushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Taasisi hiyo, kulia ni Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumza jambo katika Mkutano huo uliofantika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
Baadhi ya Madaktari wakibadilishana mawazo huku wakipata chai.
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa na Viungo, Mkuu wa Kitengo na Mwenyekiti wa Mkutano huo Dk. Mcharo Bryson akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) mara baada ya kutoka katika mkutano huo wakati wa chai
Madaktari wakisikiliza kwa umakini wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki alipoufungua Mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi hiyo, Dk. Samuel Swai.
Profesa Inan Muharrem (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima picha ya iliyochorwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya katika picha ya pamojana Madaktari Bingwa
Mkurugenzi Mtendaji akizungumza na waandishi.

(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA), Mmiliki wa ujijirahaa blog
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: