Monday, July 4, 2016

MKUU MPYA WA WILAYA YA TABORA MJINI BI. QUEEN MLOZI AKABIDHIWA OFISI

Mkuu wa Wilaya Msataafu wa Tabora Mjini, Suleiman Kumchaya (kushoto) akisaini hati ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Wilaya Mpya wa Tabora Mjini Bi. Queen Mwashinga Mlozi mapema leo. Picha na Iddy Nidudu.
Mkuu wa Wilaya Msataafu wa Tabora Mjini, Suleiman Kumchaya (kushoto) wakibadilishana hati ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Wilaya Mpya wa Tabora Mjini Bi. Queen Mwashinga Mlozi mapema leo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu