Sunday, July 31, 2016

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA WATENDAJI WAKE KUSAMBAZA MAPIPA YA KUWEKEA TAKA BARABARA YA KIVUKONI DSM

Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo wakati walipoongoza zoezi la kusambaza mapipa ya kuwekea takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam kwa ajili ya udhibiti wa utupaji wa taka hovyo.
Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema katikati akiongozana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Bw.Msongela Palela kushoto pamoja na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo weka mapipa ya kuhifadhia takataka katika barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam.
Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema akiongozana akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala juu ya mpangilio wa uwekaji wa mapipa ya kuhifadhia takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu