Saturday, July 23, 2016

MSEMAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE AKUTANA NA AFISA MWANDAMIZI WA UBALOZI WA CHINA NCHINI

Msemaji na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China nchini, Bw. Zhang Biao alipomtembelea leo katika Ofisi za Wizara. Katika mazungumzo yao walizungumzia namna ya kuendelea kushirikiana hususan katika kuhakikisha Sera za Mambo ya Nje za Tanzania na China zinajulikana kitaifa na kimataifa kwa kuimarisha tasnia ya Mawasiliano kwa Umma. PICHA NA  WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Maafisa wa Ubalozi wa China nchini waliofatana na Bw. Zhang Biao wakifuatilia mazungumzo. Kutoka kushoto ni Bi. Sun Lihua na Mkurugenzi wa Diplomasia na Habari Bw. Xu Jingchun.
Picha ya pamoja.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu