Sunday, July 17, 2016

MWANAMUZIKI WENCESLAUS CHITALULA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA MJINI MOROGORO


Mwili wa mpiga dramu wa bendi ya Extra Bongo 'Wana Kimbembe', na Akudo Impact, Wenceslaus Chitalula 'Mpogoro Machine', jana umesafirishwa kwenda mjini Morogoro kwenye maziko. Marehemu Wenceslaus Chitalula alifariki jijini Dar es Salaam ambapo mwili wake ulikuwa umeifadhiwa katika hospitali ya Mwananyamala.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiaga tayari kwa kuusafirisha kwa mziko.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu