Wednesday, July 6, 2016

MWENYEKITI MPYA WA BODI YA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF) SPIKA MSTAAFU, ANNE MAKINDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI SSRA, BI. IRENE ISAKA

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Spika mstaafu, Mhe, Anne Makinda akimweleza jambo Mkurugenzi wa Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka, alipotembelea Ofisi za mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam leo na kufanya mazungumzo ya kikazi na Mkurunzi Mkuu wa mamlaka hiyo.
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mhe. Spika Mstaafu Anne Makinda akiwana katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (kushoto), mara baada ya mazungumzo ya kikazi leo, katika Ofisi za mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu