Saturday, July 30, 2016

SHULE YA SEKONDARI YA MNYAMBE, NEWALA YAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGISHA VIFAA VYA SHULE

 Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mhe. Aziza Mangosongo (aliyevaa kilemba) na Mkurugenzi wa Wilaya Newala, Mussa Chimae (aliyesimama) leo wameongoza harambee ya kuchangia Fedha na vifaa kwa ajili ya kuondoa changamoto za shule ya Sekondari ya Mnyambe inayotarajia kupokea wanafunzi wa kidato cha tano wiki ijayo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu