Friday, July 29, 2016

SPIKA NDUGAI AREJEA KUTOKA KWENYE MATIBABU NCHINI INDIA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Spika Dkt Fatma Mganga. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu