Monday, July 18, 2016

TIGO WAZINDUA DUKA JIPYA LA KISASA WILAYA YA KONGWA, MJINI KIBAIGWA

Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Tigo mjini Kibaigwa, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata, kulia ni Meneja Ubora kwa wateja, Mwangaza Matotola.
Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini,Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka hilo jipya kwa Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kampuni ya Tigo.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Kibaigwa wakishuhudia uzinduzi wa duka hilo mapema wiki iliyopita.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu