Saturday, July 9, 2016

WASHINDI WA DROO KUBWA YA SHINDA NYUMBA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 
Dadi Tematema akimpokelea dinner set Herman Haule.
Dadi Tematema akitoa ushuhuda wa ndugu yake aliyekuja kumpokelea zawadi aitwae Herman Haule jinsi alivyokuwa akiyasoma Magazeti ya Global naye alivyokuwa akimuona anajisumbua.
Dadi Tematema akitoka nje ya ofisi za Global na zawadi ya dinner set aliyompokelea ndugu yake, Herman Haule.
Ester Josephat akionesha zawadi alizompokelea kaka yake, Godfrey Josephat
Ester Josephat akionesha zawadi alizompokelea kaka yake, Godfrey Josephat.
Johari Hamisi akimpokelea bed sheet Hawa Maulid ambaye hakufika kutoka kwa Mhariri wa gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili.
Mc aliyeendesha mchakato wa bahati nasibu hiyo tangu ilipoanza miezi 6 iliyopita, mc chaku shemungia naye akifurahia simu aliyokabidhiwa kama shukrani ya kundesha mchakato huo vizuri.
Mc Chaku shemungia akimuhoji Mhariri wa gazeti la Championi Jumamosi, Elius kambili baada ya kumaliza mchakato wa kugawa zawadi.
Mshindi wa king'amuzi, Wilbert Jacob akihojiwa na wanahabari baada ya kukabidhiwa king'amuzi chake.
Mwakilish wa Ting, Betty Bonzon akimkabidhi king'amuzi cha Ting, mshindi Wilbert Jacob
Mwalishi wa Ting, Betty Bonzon (kushoto) akimkabidhi kingamuzi na dishi, Edward Mwakapila kwa niaba ya mshindi Baltazari Mrosso
Washindi katika picha ya pamoja

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu