Thursday, August 4, 2016

ANIKWA KUONYESHWA CHANNEL YA ST SWAHILI KUPITIA STARTIMES SAA TATU USIKU

Katika Hali ya Kawaida Ushawahi kuona mtu akifumaniwa anakuwa kwenye Hali gani? Je Ushawahi Kufumaniwa? Je Ushawahi kuona mchepuko akimfumaniwa? Je Mume au Mke?

Basi haya yote utayapata kwenye Kipindi cha ANIKWA kitakachoanza kurushwa tarehe 06.08.2016 kupitia Channel ya ST Swahili inayopatikana kwenye King'amuzi cha Startimes pekee kuanzia Saa tatu Usiku kila Jumamosi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu