Bwana na Bibi David Saire Manoti wakipata Picha za ukumbusho katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi
Maharusi wakipata Picha ya pamoja na Wasimamizi wao
Maharusi wakipata picha na wasimamizi wao pamoja na wasindikizaji walionogesha Harusi hiyo.
Bwana Harusi David Saire Manoti akiwa na Mke wake mpenzi Nezia Manumbu Baada ya Kufunga Pingu za Maisha katika Kanisa la St. Peters Jijini Dar
Maharusi wakiwa katika Ibada ya ndoa yao Takatifu
Bwana na Bibi Harusi David na Nezia wakiingia ndani ya ukumbi wa Law School
Bwana harusi David Manoti akiwa na shangwe wakati anaingia ukumbini
Kamati kuu ya Maandalizi wakitangaza zawadi yao kwa Maharusi
Ulifika muda wa kuzifungua Champagne, huku kila mmoja aliyekuwa nayo mkononi akifungua kwa mbwembwe zake
Baadhi ya wageni waalikwa wakiendelea kumiminiwa Champagne kabla ya kufanya Cheers ili kutakiana heri.
Maharusi wakipeleka Keki upande wa Bibi Harusi Familia ya akina Manumbu ikiwa ni ishara ya shukrani
Maharusi wakipeleka keki katika familia ya Bwana Harusi Saire Manoti ikiwa ni ishara ya shukrani.
Wazazi upande wa Bibi Harusi wakiongozwa na mama mzazi wa Nezia kutoa zawadi ya Familia
Wageni waalikwa wakiwa katika Harusi ya Bwana na Bibi David Manoti
Baadhi ya Marafiki wakiwa katika harusi ya David na Nezia.
Burudani ikiiendelea ... Picha zote na Fredy Njeje.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: