Wednesday, August 17, 2016

KIKUNDI CHA SCORPION NDIYO WASHINDI WA SHINDANO YA TIGO DANCE LA FIESTA LILILOFANYIKA JIJINI MWANZA

Jaji Jackline Cliff akitoa maelekezo kwa mojawapo ya kikundi kilichoshiriki shindano la Tigo dance la Fiesta jijini mwanza leo, Jumla ya vikundi nane vilichuana.
Kikundi cha Mirambo kikionyesha cheche zake.
Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani ya ukumbi wa Villa Park. Mwanza
Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani ya ukumbi wa Villa Park. Mwanza
Sehemu ya watu walioshuhudia mchuano wa Tigo Dance la Fiesta
Kikundi cha Team Maximum japo hawakushinda ila walionyesha umahiri mkubwa.
Vikundi vya Scorpion na warriors vikichuana vikali uso kwa uso kuonyesha nani zaidi kati yao kwenye mashindano ya Tigo Dance la Fiesta.
Kikundi cha Turn Kardi kilitoa vionjo vya michael jackson
Kikundi cha warriors kikichuana vikali kutafuta ushindi wa shindano la Tigo Dance la Fiesta
Meneja wa masoko Tigo kanda ya ziwa, Alli Mashauri akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa shindano la tigo dance la fiesta, kikundi cha scorpion waliojishindia kitita cha shilingi milioni moja leo jijini Mwanza.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu