Tuesday, August 16, 2016

MAHOJIANO NA OLYMPIAN HILAL HEMED HILAL (LIVE) KUTOKA BRAZIL

Photo Credits: MissiePopular.com
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU (Jumatatu Agosti 15 2016) Mubelwa Bandio alifanya mahojiano ya moja kwa moja na Hilal Hemed Hilal. Nahodha wa Tanzania
katika mchezo wa kuogelea kwenye mashindano ya Olimpiki huko Rio de
Janeiro nchini Brazil.

Alikuwa mkarimu kujiunga nasi kwa njia ya Skype sambamba na kocha wake Alexander Mwaipasi

Karibu uungane nasi

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu