Friday, August 19, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA KATIBU MKUU MSAIDIZI NA NAIBU MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA (UNFPA) PIA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERAT MFUMUKEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha aliyekuwa Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya idadi ya watu hapa nchini (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UNFPA alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akizungumza na aliyekuwa Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya idadi ya watu hapa nchini (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitazama vitabu alivyopewa na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya idadi ya watu hapa nchini (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza (kulia) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiangalia vitabu hivyo.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na aliyekuwa Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya idadi ya watu hapa nchini (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya idadi ya watu hapa nchini (UNFPA - Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo watatu kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga watatu kutoka (kushoto).
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu