Sunday, August 14, 2016

RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, ALHAJI ABOUD JUMBE AFARIKI DUNIA

Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Aboud Jumbe leo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mzee Jumbe amefariki na umri wa Miaka 96 ambapo tarehe 14-6-2016 alifikisha.  

Mungua ailaze roho ya marehemu Mahali Pema peponi.

1 comment :

Anonymous said...

Inna Lillah Wainna Ilayhi Rajiuun

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu