Saturday, August 20, 2016

SIMBA SPORTS CLUB WAZINDUA UJENZI WA UWANJA WAO BUNJU B JIJINI DAR

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali (kushoto)akizundua ujenzi wa Uwanja wa Klabu hiyo (kulia), Rais wa Klabu hiyo Evans Aveva, katika hafla ya kuomba dua kwa ajili ya kuombea timu kuelekea msimu mpya dua iliyofanyika katika Uwanja wa Simba uliopo Bunju B Dar es Salaam jana.
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, akinadisha jenzi ya timu hiyo yenye jina la mshambuliaji wa timu hiyo Laudit Mavugo, katika hafla ya kuomba dua kwa ajili ya kuombea timu kuelekea msimu mpya dua iliyofanyika katika Uwanja wa Simba uliopo Bunju B Dar es Salaam jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu