Katibu tawala wa Manispaa ya Ilala, Mh. Edward Mpogolo akizungumza na vijana wa shirika lisilo la kiserikali la TYVA waliofika katika maadhimisho ya miaka 16 ya shirika hilokatika ukumbi wa British Council leo jijini Dar.
Katibu tawala wa Manispaa ya Ilala, Mh.Edward Mpogolo(wa pili kutoka Kulia) akikata keki na Mwenyekiti wa TYVA, Nuria Mshare wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya taasisi ya Vijana ya TYVA iliyofanyika leo katika ukumbi wa British Council. wa kwanza kulia ni Afisa vijana wa Jiji la Dar es Salaam, Masalida Zephania Njashi na wa kwanza kutoka kushoto ni Zulekha Ibrahim. (Picha na Geofrey Adroph).

Pia mgeni rasmi alizindua kitabu cha mtazamo wa Vijana Bajeti ya mwaka wa fedha ya 2016/2017 kilichoandikwa na Taasisi la Vijana la TYVA pamoja na kuzindua Dokumentari ya Video ya Binti Jitambue.
Katibu Mtendaji wa TYVA Saddam Khalfan akieleza mafanikio pamoja na changamoto walizozipata ndani ya miaka 16 ya taasisi ya vijana ya TYVA pia alizingumzia masuala ya Ajira kwa Vijana, Uhamasishaji wa ulipaji wa Kodi pamoja na masuala ya Bajeti na Katiba kwa vijana iliyofanyika leo katika ukumbi wa British Council jijini Dar.
Afisa vijana wa Jiji la Dar es Salaam, Masalida Zephania Njashi akizungumza na vijana waliofika katika maadhimisho ya miaka 16 ya taasisi ya Vijana ya TYVAyaliyofanyika katika ukumbi wa British Council leo jijini Dar
Aliyekuwa Mwananchama wa TYVA Costantine Deus akieleza mafanikio waliyoyapata ndani ya kipindi cha miaka 16 wakati wa maadhimisho yaliyofanyika leo jijini Dar.
Mkuu wa Idara ya Ushawishi na Utetezi kutoka Taasisi ya Vijana ya TYVA ,Suleiman Makwita akizungumza jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya taasisi hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa British Council leo jijini Dar.
Baadhi ya vijana waliofika katika maadhimisho ya miaka 16ya taasisi ya Vijana ya TYVA
Emmy Leonard akitoa ushuhuda kuhusu taasisi ya Vijana ya TYVA alivyomsaidia mpaka kuwa mjasiliamali
Baadhi ya wadau pamoja na vijana waliofika katika maadhimisho ya miaka 16 ya taasisi ya vijana ya TYVA iliyofanyika katika ukumbi wa British Council leo jijini Dar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: