Friday, August 19, 2016

TAMBO ZA WATANI WA JADI; TABIA 5 ZA MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA NA VIONGOZI WAKE

 
1. UMBEA:
Wao kufatilia mambo yasiyo wahusu wengi wa mashabiki wa Simba huwa ni michepuko maana leo Wapo Azam kesho TP Mazembe kesho kutwa Wapo Coastal Union kazi Yao ni kudili na waume za watu yakwao yamewashinda.

2. TAMAA:
Wengi wao wanatamaa ya ubingwa ila hawajui unapatikanaje kazi yao ni kuionea wivu Yanga na Azam watolewe kwenye mashindano utafikilia wao ndiyo wanacheza Duuu badala ya kuipigania timu yao wao nayo ishiriki mashindano makubwa ambayo kwao yamekuwa kilio kikubwa wao ni kuijadili Yanga tu huo ndiyo uwendawazimu wao.

3. UZEZETA NA UZUZU:
Mashabiki wengi wa Simba ni mazuzu na mazezeta wanajua matokeo ya Yanga kuyajadili kuliko ya kwao huo ndiyo uzezeta wao uzuzu wao ni hapa wao kila siku wanaiwazia Yanga wakati wao Yanga wanawazia wataikabili vipi TP Mazembe umeona! Utahira wao?

4. AKILI NDOGO:
Wao akili zao ni kama za ngedere siku zote wanatamaa mkubwa kuliko vitendo wamebakiza historia tu utayasikia eti sisi tulicheza fainali na waarabu waulize mbona sasa hivi wao klabu bingwa hawashiriki lazima wakukimbie na kama ni wazee halafu wewe ni kijana lazima watakwambia kijana hauna adabu hapo ndiyo unaona ungedele wao Hihihi.

5. UBISHI WA KIJINGA:
Hawa mashabiki wa mikia au Simba wao si wabishi kama watoto wa kambo waliokosa malezi kila kitu wao ni kubisha tu na kupinga hata kama ni ukweli ila wao ni kubisha tu.

Mwisho nitajaribu kuwasiliana na wazee wa makanisa na kuona ni namna gani tunaweza kuwasaidia kuwaombea hilo janga liwaepeke maana wanakielekea watakua wachawi iwe hatari zao
wako.

PENDA YANGAA WEWEEEEEE!!!!

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu