Tuesday, August 2, 2016

WATOTO WA WAFANYAKAZI WA AIRTEL WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA AIRTEL JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akiongea na watoto, wakati wa program maalum ya Airtel inayofanyika kila mwaka inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.
Meneja huduma kwa wateja wa Airtel Tanzania, Delphina Msuya akiongea na watoto walipotembelea kitengo chake, wakati wa program maalum ya Airtel inayofanyika kila mwaka inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu