Wednesday, September 14, 2016

BREAKING NEWS; JIKO LA HOTELI YA KCC, MAILI MOJA KIBAHA LATEKETEA KWA MOTO

Moto Mkali umeteketeza jiko la hoteli ya KCC ya Maili Moja, Kibaha mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. Hakuna mtu aliyekufa kutokana na tukio hilo la moto. Habari Kamili zitawajia hivi punde.PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASO BLOG.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu