Monday, September 26, 2016

DIAMOND AMFANYIA BIRTHDAY YA NGUVU MPENZI WAKE ZARI 'THE BOSS LADY' ZANZIBAR

Diamond Platnumz amemfanyia pati ndogo Zari The Boss lady kati siku yake ya kuzaliwa, pati hii imefanyika visiwani Zanzibar na kuhudhuriwa na watu maarufu kama Mose Iyobo, Aunty Ezekiel. Mtoto wao Princes Tiffah naye alikuwepo kwenye pati hiyo.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA WASAFI.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu