Chadema imeibwaga Serikali mahakamani baada ya mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Simiyu kuzitupilia mbali hoja za upande wa mashitaka za kuzuia dhamana kwa viongozi na wanachama wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi.
Karibuni sana wasomaji wa blog hii wote kutoka pande zote za dunia muweze kupata HABARI NA MATUKIO. Poleni sana na mihangaiko ya kutafuta riziki. Ni Matumaini yangu bado mnakaza buti kuyakabili haya Maisha kwani hauna budi kufanya hivyo, usipojikaza Kiume Maisha yataendelea kuwa magumu Milele. Wapenzi wasomaji wangu kama unatukio lolote naomba nitumie kwenye e-mail hii; cathbert39@gmail.com. Blog yetu inapatokana katika simu yako ya mkononi. Usikubali kupitwa ni wakati wa Digitali...
No comments :
Post a Comment