Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Septemba, 10 mkoani Kagera, Hubert Kairuki Memorial University Hospital imetoa mchango mdogo wa madawa kwaajili ya Wahanga wa tetemeko la ardhi.
Dr Muganyizi Kairuki wa hospitali ya Hubert Kairuki Memorial University kabla ya kukabidhi msaada wa mdawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu.
Pichani kushoto anaonekana Dr Muganyizi Kairuki Naibu Mkurugenzi wa hospitali hiyo wakati akikabidhi Masada huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu

#Bukobawadau#TetemekoBukoba
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: