Saturday, September 17, 2016

JE WEWE NI MWANAMKE MREMBO NA UNA NDOTO ZA KUWA MODEL?

Flaviana Matata alikua na ndoto za kuwa MODEL,pamoja na ugumu wa Tasnia hii ALIWEZA...

Millen Magese alikuwa na Ndoto hiyohiyo na AMEWEZA...

Je una Ndoto za kuwa MODEL???

Je umekuwa ukitamani kufanya kazi na Makampuni Makubwa ya Urembo kama ALLY RHEMTULLAH na MUSTAPHA HASANALI??

Hii ni nafasi yako sasa...You can be the next MIRIAM ODEMBA kama Ukiamua LEO...

Siku ya JUMAMOSI, Tarehe 17 SEPTEMBA,Mahali ni MBUDYA ISLAND,Litafanyika tukio linaloweza kuwa Historia kwenye Maisha yako na Ndoto zako...

Kama UNAJIAMINI wewe ni Mwanamke Mrembo na Una NDOTO ya kufanya kazi na RHEMTULLAH,HASANALI,MARTIN KADINDA na Makampuni Mengine Makubwa Tanzania na Nje ya Tanzania FUATA YAFUATAYO...

1. Jiandikishe kwa ajili ya SPECIAL PHOTOSHOOT itakayofanyika MBUDYA Siku hiyo Kuanzia SA6 MCHANA HADI 11 JIONI

2. Deadline ya Kujiandikisha ni IJUMAA ya Tarehe 16 Septemba SAA2 Usiku

3. Gharama ya PHOTOSHOOT HII ni Sh 50,000 ambayo itaCOVER Gharama zako za USAFIRI wa KWENDA NA KURUDI Mbudya...ItaCOVER Chakula Chako Muda wote utakaokuwa MBUDYA kwa ajili ya Kupigwa Picha...ItaCOVER Gharama zako za VINYWAJI ukiwa Mbudya...

Hii ni kwa WENYE NDOTO TU, Kama hujawahi kuwaza kutokea kwenye Video za Wasanii Wakubwa,Hujawahi kuwaza Kutokea kwenye Front Page za Magazine kubwa,Hujawahi kuwaza Kufanya Kazi kwenye Events za Makampuni Makubwa na Huna ndoto za Kuwa Model kutokea kwenye Mabango na Matangazo ya Bidhaa USIJE..

Proudly Sponsored by COCACOLA, ALLY RHEMTULLAH, ELI ULOMI PHOTOGRAPHY, MUSTAPHA HASANALI&SWAHILI FASHIONS, THE PARLIAMENT LOUNGE, EFM RADIO&TV, GIOVANNI IDEAS, MARTIN KADINDA, FERN TANZANIA, and RBS MARKETING AGENCY.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu