Sunday, September 18, 2016

KAMPUNI YA ASAS IRINGA YAPONGEZWA KWA KUJITOLEA MIRADI YA ZAIDI YA TSH MILIONI 400 HOSPITALI YA MKOA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (kushoto) akimpongeza Salim Asas (kulia) mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika miradi mikubwa miwili iliyofadhili kampuni ya Asas ukiwemo mradi wa jengo la kituo cha damu salama Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa na jengo la watoto wanaozaliwa njiti yote yaliyofadhiliwa kwa zaidi ya Tsh milioni 400 na kampuni hiyo ya Asas ya mkoa wa Iringa(picha na matukiodaimaBlog.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akisaini kitabu cha wageni
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa miradi hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza ( wa tano kulia ) akiwa na mfadhiliwa wa miradi ya jengo la kituo cha damu salama Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa Salim Asas kutoka kampuni ya Asas ya mkoa wa Iringa (kulia kwake) pamoja na viongozi wengine walioshiriki Halfa ya uwekaji wa mawe ya msingi katika mradi huo na jengo la watoto njiti yote ikiwa na zaidi ya Tsh milioni 400 zilizotolewa na kampuni ya Asas wa nne kutoka kushoto ni mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akizindua majengo hayo kwa hotuba.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mfadhili wa miradi ya jengo la Benki ya damu na jengo la watoto njiti wakiweka jiwe la msingi leo anayeshuhudia ni mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela.
Mkuu wa mkoa wa Iringa akiwa ndani ya jengo la benki ya damu.

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza ( wa nne kulia ) akiwa na mfadhiliwa wa miradi ya jengo la kituo cha damu salama Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa Salim Asas kutoka kampuni ya Asas ya mkoa wa Iringa (kulia kwake) pamoja na viongozi wengine walioshiriki Halfa ya uwekaji wa mawe ya msingi katika mradi huo na jengo la watoto njiti yote ikiwa na zaidi ya Tsh milioni 400 zilizotolewa na kampuni ya Asas wa nne kutoka kushoto ni mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu