Monday, September 19, 2016

KENYA YAKABIDHI MSAADA WA MABLANKETI 400 KWA WAATHIRIWA NA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

Balozi wa Kenya nchini Tazania Chirau Ally Mwakwere aliyemuwakilisha Rais wa  Kenya Uhuru Kenyatta akikabidhi msaada wa mablanketi 400 kwa Mkuu wa  Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salumu Kijuu kutoka Serikali ya Kenya kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Balozi wa Kenya akikabidhi magodoro 100 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwaajili ya wahanga wa tetemeko Kagera.
Askari wa Kenya wakishusha msaada wa magodoro kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera. PICHA NA EDITHA KARLO GLOBU YA JAMII - BUKOBA.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu