Wednesday, September 14, 2016

KISHINDO CHA BURUDANI YA MSIMU WA TIGO FIESTA 2016 CHAWADONDOKEA WAKAZI WA SINGIDA

Msanii Ben Pol akiwa jukwaani kuwapagawisha wakazi wa Singida kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Namfua usiku wa Jumamosi ya wiki iliyopita.
Dj D Ommy akiwa katika kuhakikisha kuwa kila burudani inayotolewa na wasanii inakuwa katika utaratibu maalum katika usiku wa Tamasha la Tigo Fiesta 2016 mkoani Singida katika viwanja vya Namfua.
FID Q akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta  2016 mkoani Singida katika viwanja vya Namfua.
JUX akiwaburudisha wapenzi wa muziki waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Namfua mkoani Singida wakati wa tamasha la Tigo Fiesta 2016.
Niki wa pili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 Mkoani Singida.
Malkia wa Uswazi, Snura akiwa na madancer wake katika kuwapagawisha wakazi wa Singida katika usiku wa Tigo Fiesta 2016 katika viwanja vya Namfua.
Maelfu ya wakazi wa Singida waliojitokeza kwa wingi kushuhudia Tamasha kubwa la burudani Tigo Fiesta 2016 lilifanyika katika viwanja vya Namfua mkoani humo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu