Roma Mkatolili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika Tamasha hilo liliofanyika katika viwanja vya Mkwakwani Jijini Tanga usiku wa Ijumaa.
Nahreel na Aika toka Kundi la Navy Kenzo wakilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika viwanja vya Mkwakani Jijini Tanga
Shetta akiwa na wacheza wake akitoa burudani kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Viwanja vya Mkwakwani usiku wa Ijumaa.
Kundi la weusi wakitoa burudani na michano ya nyimbo zao kali kwa wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la burudani la Tigo Fiesta 2016 jijini Tanga.
Barnaba akiwa kwenye jukwaa la Tigo fiesta 2016 uwanja wa Mkwakwani Tanga usiku wa ijumaa hii
Benpol akitumbuiza kwa Style ya Mduara na wacheza shoo wake.
DOGO JANJA naye akiwakonga wapenzi wa muziki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta2016.
Makomandoo wakionesha umahiri wao wa kumiliki jukwaa.
Maua Sama naye aliwakonga nyoyo wapenzi wa burudani waliojitokeza kwa wingi katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016 jijini Tanga
Nay wa Mitego akilivamia jukwaaa la Tigo Fiesta 2016 katika Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Mkwakani usiku wa ijumaa wiki hii.
Maelfu ya wakazi wa jiji Tanga waliojitokeza katika viwanja vya Mkwakwani katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016 wakipata burudani kwa wasanii wa Bongofleva na Vikundi vya Taarabu vilivyotoa burudani ya kukata na shoka usiku wa ijumaa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: