Thursday, September 22, 2016

MBUNGE WA MIKUMI, MHE. JOSEPH HAULE AMPONGEZA BABA YAKE MZAZI MZEE HAULE KWA KUTIMIZA MIAKA 80

Asante sana Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kumfikisha baba yetu mzazi Mzee LEONARD STEPHEN HAULE kutimiza miaka 80 kamili, Hii yote ni kwa NEEMA ya Mungu tu, Tunaendelea kukuombea kwa Mungu akuongezee miaka mingi zaidi kwa jinsi inavyompendeza. Natamani sana na mimi Niipate NEEMA Hiyo,
HAPPY BIRTHDAY DAD.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu