Tuesday, September 6, 2016

MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MILLICOM AFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Millicom ambayo ni kampuni Mama ya Tigo Tanzania Mauricio Ramos (Kushoto) akijibu maswali kutoka kwa wafanyakazi wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Tigo jijini Dar es salaam mapema mwishoni wa wiki iliyopita. Ramos yuko nchini kutembelea kampuni ya Tigo na miradi yake.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Millicom ambayo ni kampuni Mama ya Tigo Tanzania Mauricio Ramos (Kushoto) akijibu maswali kutoka kwa wafanyakazi wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Tigo jijini Dar es salaam. Ramos yuko nchini kutembelea kampuni ya Tigo na miradi yake. Kushoto kwake ni Mjumbe wa bodi ya Millicom na Mkurugenzi wa uendelezaji vipaji wa kampuni ya Tigo, Catherine Olak.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Millicom ambayo ni kampuni Mama ya Tigo Tanzania Mauricio Ramos (Kushoto) akijadiliana jambo na wafanyakazi wa Tigo mara baada ya mkutano pamoja nao mapema wa wiki iliyopita.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu