Tuesday, September 13, 2016

MSIMU WA TIGO FIESTA 2016 WANOGESHWA NA BURUDANI YA KISHINDO MKOANI TABORA

Maua Sama na Nandy wakiimba kwa pamoja katika usiku wa Tigo Fiesta 2016 mkoani Tabora mwishoni wa wiki iliyopita.
Msanii wa Bongo fleva AMADAI akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 Mkoani Tabora.
JUX na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja "NAKUCHANA" katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Mkali wa HipHop Niki wa pili akishambulia jukwaaa la Tigo Fiesta 2016 mkoani Tabora mapema wiki iliyopita katika uwanja wa Ally Hassan.
Nuh Mziwanda akiimba kwa hisia nyimbo yake ya Jike shupa katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 mkoani Tabora.
Young killer akiwakilisha vyema wana HIPHOP katika jukwaa la TIGO FIESTA  2016 mkoani Tabora.
Msanii wa bongo fleva Shilole,akitumbuizakwenye tamasha la Tigo fiesta 2016 Mkoani Tabora katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
Mashabiki na wapenzi wa burudani wakiitikia kwa shangwe kibwagizo cha "IMOOOOOOOO " katika usiku wa TIGO FIESTA 2016 mkoani Tabora.
Umati wa mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta mkoani Tabora katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu