Thursday, September 8, 2016

NAFASI YA KAZI YA KUSHONA KUTOKA KWA MANJU MSITA (SMART AFRICA)

 MBUNIFU wa Mavazi Manju Msita anatoa nafasi za kazi kwa mafundi wa kushona (tailors) wenye uwezo mkubwa wa kutumia akili zao kufanya kazi nae...

Wawe na umri kati ya miaka 22-35. 

Ni fursa ya pekee na pia changamoto kwa wale wanaopenda kuongeza uwezo wa kufikiri na kujiamini katika kazi zao.

Wanatakiwa mafundi wenye uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea na wenye uwezo wa kushona nguo za kike na za kiume zikiwemo suti watafikiriwa zaidi.

Wasiliana nasi kwa namba 0766/0655 (411441).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu