Sunday, September 25, 2016

PROF. IBRAHIM LIPUMBA ALIVYORUDISHWA KWA KISHIDO OFISI KWAKE MAKAO MAKUU YA CUF

Wafuasi wa Prof. Lipumba wakipanda juu ya geti kuingia ndani kufungua geti.
Wafuasi wa Lipumba wakipanda juu ya geti kuingia ndani kufungua geti.
Wafuasi wa CUF wakimpiga mlinzi wa Kampuni ya SGA aliyekuwa akilinda ofisi hizo
Ilikuwa ni shika nikushike.
Prof. Lipumba akihutubia.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu