Thursday, September 8, 2016

TASWE SACCOS INAZIDI KUKULETEA FURSA

TASWE inapenda kuwakaribisha katika halfa ya chakula cha jioni tarehe 10/09/2016 saa 11 jioni ukumbi wa Cardinal Rugambwa. Madhumuni ni kusherehekea mafanikio yetu waalikwa zaidi ya 300 watakuwepo pamoja na Balozi mbalimbali, makampuni alikadhalika na banks. Mgeni rasmi katika shughuli hii ni Dr. Reginald Mengi. Meza za biashara zitakuwepo ili uweze kuonyesha na kuuza biashara yako na fursa nyingine kibao.

Tiketi zinapatikana kwenye ofisi za TASWE zilizopo oysterbay au piga namba 0655 629 400

Wahi sasa jipatie tiketi yako!!!!!

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu