Wednesday, September 7, 2016

TBL GROUP WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA HUMAN DREAM CHILDREN VILLAGE

Mkurugenzi msaidizi wa kituo cha kulelea watoto walemavu Human Dream Children Village, Emanuel Komba akiwaonyesha mazingira ya kituo hiko baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group kutembelea kituo hiko na kukabidhi msaada wa vipande vya chupa vya kutengenezea uzio wa kituo hicho
Mkurugenzi msaidizi wa kituo cha kulelea watoto walemavu Human Dream Children Village, Emanuel Komba (kulia) akiwaonyesha moja ya watoto wanaolelewa katika kituo hiko baada ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group kutembelea kituo hiko na kukabidhi msaada wa vipande vya chupa vya kutengenezea uzio wa kituo hicho.
Meneja mawasiliano wa ndani wa kampuni ya TBL group, Zena Tenga (wapili kulia) akimkabidhi moja ya kiroba cha chupa zilizovunjika kwa ajili ya ujenzi wa uzio Mkurugenzi msaidizi wa Kituo cha kulelea watoto walemavu cha Human Dream Children Village,Emanuel Komba kushoto ni mama mlezi wa kituo hicho,Celina Fransis na kulia ni Meneja wa mawasiliano ya nje wa kampuni hiyo Amanda Walter.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu