Wasanii Vanessa Mdee na Juma Jux wakiimba pamoja kwenye tamasha la Tigo fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa jana.
Chege akiburudisha maelfu ya mashabiki na wapenzi wa muziki mkoani morogoro katika Jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana Mkoani Morogoro.
FID Q akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro.
Mkali wa Dansi Christian Bella akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro usiku wa jana.
Msanii Man fongo akiwasha moto kwenye tamasha la Tigo fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mr Blue katika ubora wake akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Morogoro katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016 uwanja wa Jamhuri.
Mkali wa Singeli akitoa burudani kwa mashabiki wake na wapenzi wa burudani walijitokeza katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Mh. Temba akiwapagawisha wakazi na mashabiki wa mziki toka Morogoro katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana.
Vanessa akiwa na wacheza shoo wake katika kulivamia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri Mkoani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: