Tuesday, September 27, 2016

TIGO FIESTA 2016 YAITIKISA MKOA WA KILIMANJARO

Wasanii Barnaba na Nandy wakitoa burudani pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 kwenye uwanja wa Majengo, Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
Barnaba akiendeleza mtiriko wa burudani ya muziki mzuri.
Christian Bella naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016.
Maua Sama.
Wasanii Navy Kenzo wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
Nay wa Mitego akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta.
Msanii Sholo Mwamba akionyesha uhodari wake wa mtindo wa singeli kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 uwanja wa Majengo, Moshi Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
Umati wa wakazi wa Moshi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu