Wednesday, September 14, 2016

TIGO YATOA MSAADA WA MADAWATI 335 MKOANI SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akinyanyua mikono juu na mkurugenzi wa Tigo kanda kaskazini, George Lugata na Meneja wa kandakaskaziniTigo, Aidan Komba.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akipokea msaada wa madawati 335 yenye thamani ya milioni 56, toka kwa Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata kwenye makabidhiano yaliyofanyika katika viwanja vya mkuu wa mkoa leo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwa ameketi kwenye dawati mara baada ya kukabidhiwa madawati 335 yenye thamani ya milioni 56, kulia ni mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata na mwanafunzi wa shule ya msingi Minga, AliSaidi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu