Thursday, October 13, 2016

DKT. SHEIN AWASILI MWANZA LEO KUELEKEA SIMIYU KUZIMA MWENGE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwnge wa Uhuru Kitaifa zinazotarajiwa kufanyika kesho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akifutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenister Muhagama (wa pili kushoto) na Waziri wa kazi,uwezeshaji Vijana,Wazee Wanawake na Moudeline Cyrus Castico (kushoto)baada ya mapokezi alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwnge wa Uhuru Kitaifa zinazotarajiwa kufanyika kesho. Picha na Ikulu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu