Meneja wa Mifumo ya Kibiashara na Mawasiliano wa Tigo Halima Kasoro (kulia)akizungumza na wateja walioalikwa katika chakula cha usiku katika hotel ya Double Tree jijini Dar es Salaam, kushoto kwake ni Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja Tigo, Mwangaza Matotola na meneja huduma kwa wateja Charles Gardner.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, akipunga mkono kuwasalimu wateja wa Tigo walioalikwa chakula cha jioni katika kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja.
Msanii Elias Barnabas (Barnaba) akiburudisha kwa kuimba na kucheza pamoja na wageni waalikwa.
Wateja wa Tigo wakisikiliza kwa makini.
Meneja Rasilmali watu wa Kampuni ya Tigo, Catherine Olaka akimpongeza mwangalizi wa duka la Manzese Glory kwa kupata zawadi ya mfanyakazi bora.
Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja Tigo, Mwangaza Matotola akiwaongoza wateja kupata chakula cha jioni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: