Tuesday, October 18, 2016

MAKOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MCHEZO HUO

Kocha wa mchezo wa Masumbwi nchini kutoka Tanga Chalres Muhiru kulia akifafanuwa jambo wakati wa kikao cha makocha kiricho itishwa na KINYOGOLI FONDOTION mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni Habibu Kinyogoli Master.
Kocha wa mchezo wa ndondi Habibu Kinyogoli Masta akizungumza na makocha walio hudhulia katika kikao cha makocha kilichofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kulia na Charles Muhiru Spens.
Makocha wa mchezo wa Masumbwi wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu