Wednesday, October 12, 2016

MANISPAA YA IRINGA YAPIGWA TAFU YA MADAWATI 85 NA TIGO

Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akipokea madawati 85 kwa manispaa ya wilaya ya Iringa toka kwa Meneja wa Mauzo wa TIGO mkoa wa Iringa, Samwel Chamai kwenye hafla iliyofanyika ofisi za wilaya juzi
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na meneja wa mauzo ya tigo mkoa wa iringa Samwel Chamai na wanafunzi wa manispaa ya Iringa.
Wanafunzi wa shule za Manispaa ya Iringa wakishuhuhudaia makabidhiano ya madawati 85 toka kwa kamppuni ya simu Tigo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu