Wednesday, October 12, 2016

MPIGANAJI WA KICK BOXING, EMANUEL SHIJA APAA KWENDA KENYA KUZIPIGA OKTOBA 15, 2016

Mpiganaji wa ngumi na mateke Kick Boxing, Emmanuel Shija kushoto akiwa na mmoja wa wadau wa mchezo huo, Joe Anena katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake ya kenya kwa kuzipiga Oktoba 15.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu