Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Waziri wa Wizara wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe,. Hamad Rashid Mohamed
(katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Lulu Msham Abdalla.
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
wakiwa katika mkutano wa siku moja unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya Wakurugenzi katika Idara mbali mbali za Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wakiwa katika mkutano wa siku moja unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja, chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wakati wa  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai - Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini  Unguja (kushoto) Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe, Hamad Rashid Mohamed, akifuatiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abduhamid Yahaya Mzee,
Baadhi ya  Wakurugenzi katika Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wakiwa katika mkutano wa siku moja  unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja, chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugu na Uvuvi Nd. Juma Ali Juma akitoa ufafanuzi wa vifungu wakati wa kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugu na Uvuvi katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto). [Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: