Monday, October 3, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA DRC MH. JOSEPH KABILA LEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mh. Joseph Kabila wakipokea heshima za kijeshu muda mfupi baara ya Mh. Kabila kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mh. Joseph Kabila akikagua gwaride mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli (wa pili kulia) na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mh. Joseph Kabila wakiangalia burudani ya ngoma, muda mfupi baara ya Mh. Kabila kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016. Katikati ni Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu