Ratiba ya mazishi Jacob Elinaza yatakayo fanyika Oktoba 24,2016 nyumbani kwao Segerea jijini Dar es Salaam.

1. Mwili wa marehemu utafika saa 11:30 am

2. Chakula cha mchana kuanzia 12:00pm

3. Kuaga mwili wa marehemu kuanzia saa 2:30pm

4. Ibada ya mazishi itaanza kuanzia 4:00pm

Kila kitu kitakuwa nyumbani kwetu segerea kwa mama

*Maelekezo* ya kufika

Unashuka kituo cha Oil com segerea anachukua pikipiki unasema wakupeleke kwa msoji mwanajeshi au kwenye msiba kwa Elinaza

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: