Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji ,Rene Luyckx, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), wakati ujumbe huo ukiongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia),ulipotembelea wizara hiyo kujadili ushirikano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akizungumza na ujumbe ulioongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: